Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 12:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia sarafu mbili za shaba, kiasi cha nussu pesa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa sarafu mbili ndogo za fedha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa sarafu mbili ndogo za fedha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa sarafu mbili ndogo za fedha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Lakini mjane mmoja maskini akaja na kuweka sarafu mbili ndogo za shaba zenye thamani ya senti mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Lakini mjane mmoja maskini akaja na kuweka sarafu mbili ndogo za shaba zenye thamani ya senti mbili.

Tazama sura Nakili




Marko 12:42
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtu aliye yote atakaemnywesha mmojawapo wa wadogo hawa kikombe cha maji ya baridi tu, kwa kuwa yu mwanafunzi, amin, nawaambieni, haitampotea kamwe thawabu yake.


Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hatta uishe kulipa pesa ya mwisho.


Yesu akaketi kuielekea sanduku ya hazina, akatazama jinsi makutano watiavyo fedha katika sanduku. Matajiri wengi wakatia vingi.


Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambieni, Huyu mjane maskini ametia vingi kuliko wote wanaotia katika sanduku ya hazina:


Nakuambia, Hutoki humo kabisa hatta uishe kulipa roho pesa ya mwisho.


Akamwona na mjane mmoja maskini, akitia robo pesa mbili.


Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.


maana walipokuwa wakijaribiwa kwa shidda nyingi, wingi wa furaha yao na umaskini wao uliokuwa mwingi uliwaongezea utajiri wa unyofu wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo