Marko 12:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Na huyo wakampiga mawe, wakamtia jeraha ya kichwa, wakamtoa ametiwa aibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Akamtuma tena mtumishi mwingine; huyu pia wakamwumiza kichwa na kumtendea vibaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Akamtuma tena mtumishi mwingine; huyu pia wakamwumiza kichwa na kumtendea vibaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Akamtuma tena mtumishi mwingine; huyu pia wakamwumiza kichwa na kumtendea vibaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kisha yule mwenye shamba akamtuma mtumishi mwingine kwao; nao wale wakulima wakampiga kichwani na kumfanyia mambo ya aibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kisha yule mwenye shamba akamtuma mtumishi mwingine kwao; nao wale wakulima wakampiga kichwani na kumfanyia mambo ya aibu. Tazama sura |