Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 12:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Akawaambia katika mafundisho yake, Jibadharini na waandishi, wapendao kutembea wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa masokoni,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Katika mafundisho yake, Yesu alisema, “Jihadharini na waalimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Katika mafundisho yake, Yesu alisema, “Jihadharini na waalimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Katika mafundisho yake, Yesu alisema, “Jihadharini na waalimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Alipokuwa akifundisha, Isa alisema, “Jihadharini na walimu wa Torati. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Alipokuwa akifundisha, Isa alisema, “Jihadharini na walimu wa Torati. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni.

Tazama sura Nakili

Marko 12:38
9 Marejeleo ya Msalaba  

Jihadharini na wana Adamu; kwa maana watawapelekeni mbele ya baraza, na katika masunagogi yao watawapiga;

Tena usalipo, usiwe kama wanafiki: kwa maana wapenda kusali wakisimama katika sunagogi na katika pembe za njia, illi waonekane na watu. Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao.

na kukaa mbele katika sunagogi, na mahali pa mbele katika karamu:

Akawafundisha mengi kwa mifano, akawaambia katika mafundisho yake,

Ole wenu, Mafarisayo, kwa sababu mwapenda kukaa mbele katika sunagogi na kusalimiwa masokoni.

Naliliandikia kanisa, lakini Diotrefe apendae kuwa wa kwanza kati yao, hatukubali.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo