Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 12:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Hatta Yesu alipokuwa akifundisha katika hekalu, akajibu, akanena, Kwa maana gani waandishi hunena ya kwamba Kristo yu Mwana wa Daud?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Wakati Yesu alipokuwa akifundisha hekaluni, aliuliza, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Wakati Yesu alipokuwa akifundisha hekaluni, aliuliza, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Wakati Yesu alipokuwa akifundisha hekaluni, aliuliza, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Isa alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa Torati wanasema kwamba Al-Masihi ni Mwana wa Daudi?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Isa alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa Torati wanasema kwamba Al-Masihi ni Mwana wa Daudi?

Tazama sura Nakili




Marko 12:35
12 Marejeleo ya Msalaba  

Saa ile Yesu akawaambia makutano, Je, mmetoka, mfano wa watu wafukuzao mnyangʼanyi mna panga na marungu, kunitwaa? Killa siku naliketi mbele zenu hekaluni, nikifundisha, wala hamkunikamata.


Yesu alipokuwa anaondoka kutoka huko, vipofu wawili wakamfuata wakipaaza sauti, wakinena. Uturehemu, Ee mwana wa Daud.


AKAONDOKA huko akafika mipaka ya Yahudi kwa niia ya ngʼambu ya Yardani; watu wengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.


Wakafika Yerusalemi tena: hatta alipokuwa akitembea hekaluni, makuhani wakuu na waandishi na wuizee wakamwambia,


Killa siku nalikuwa mbele yenu bekaluni nikifundisha, wala hamkunikamata: lakini maandiko yapate kutimia.


Akawa akifundisha killa siku hekaluni, makuhani wakuu na waandishi na wakubwa wa watu wakatafuta kumwangamiza,


IKAWA siku moja, alipokuwa akiwafundisha watu hekaluni na kuikhubiri Injili, makuhani wakuu na waandishi, na pamoja nao wazee, wakamtokea ghafula,


Bassi killa siku alikuwa akifundisha hekaluni wakati wa mchana; na wakati wa usiku akitoka, na kulala katika mlima uitwao mlima wa mizeituni.


Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu kwa wazi; mimi siku zote nalifundisha katika masunagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi siku zote; wala kwa siri sikusema neno.


Andiko halikusema ya kwamba Kristo atoka katika uzao wa Daud, na kutoka Bethlehemu, kijiji kile alichokaa Daud?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo