Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 12:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 na kumpenda kwa moyo wote, na kwa ufahamu wote, na kwa roho yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama nafsi yako, kwafaa kuliko kafara zote na dhabihu zote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Na ni lazima mtu kumpenda Mungu kwa moyo wote, kwa akili yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani yake kama anavyojipenda mwenyewe. Jambo hili ni muhimu zaidi kuliko tambiko na sadaka zote za kuteketezwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Na ni lazima mtu kumpenda Mungu kwa moyo wote, kwa akili yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani yake kama anavyojipenda mwenyewe. Jambo hili ni muhimu zaidi kuliko tambiko na sadaka zote za kuteketezwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Na ni lazima mtu kumpenda Mungu kwa moyo wote, kwa akili yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani yake kama anavyojipenda mwenyewe. Jambo hili ni muhimu zaidi kuliko tambiko na sadaka zote za kuteketezwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Kumpenda Mungu kwa moyo wako wote, na kwa ufahamu wako wote, na kwa nguvu zako zote, na kumpenda jirani kama mtu anavyojipenda mwenyewe ni bora kuliko kutoa sadaka za kuteketezwa na dhabihu zote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Kumpenda Mungu kwa moyo wote na kwa akili zote na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama mtu anavyojipenda mwenyewe ni bora zaidi kuliko kutoa sadaka za kuteketezwa na dhabihu zote.”

Tazama sura Nakili

Marko 12:33
15 Marejeleo ya Msalaba  

Kama mngalijua maana ya maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, hamngaliwalaumu wasio na khatiya.

Lakini shikeni njia, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka: kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.

Hapo juu anenapo, Dhabihu na matoleo na kafara na sadaka za dhamhi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo ilivyoamuru torati),

Tufuate:

Matangazo

Matangazo