Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 12:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Na ya pili yafanana na bayo, ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hapana nyingine iliyo kuu kuliko hizi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Na ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ Hakuna amri nyingine iliyo kubwa zaidi kuliko hizi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Na ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ Hakuna amri nyingine iliyo kubwa zaidi kuliko hizi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Na ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ Hakuna amri nyingine iliyo kubwa zaidi kuliko hizi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.”

Tazama sura Nakili

Marko 12:31
15 Marejeleo ya Msalaba  

Na ya pili yafanana nayo, ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

Bassi yo yote mtakayo kutendewa na watu, nanyi mwatendee vivyo hivyo: maana hiyo ndiyo torati na manabii.

Yule mwandishi akamwambia, Hakika, mwalimu, umesema vema ya kwamba Mungu ni mmoja, wala hapana mwingine illa yeye:

Nae akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.

Maana sharia yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.

Na amri hii tumepewa nae, ya kwamba yeye ampendae Mungu, ampende na ndugu yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo