Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 12:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Wakamtwaa, wakampiga, wakamtoa nje, hana kitu. Akatuma tena kwao mtumwa mwingine.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Lakini wale wakulima walimkamata yule mtumishi, wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Lakini wale wakulima walimkamata yule mtumishi, wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu.

Tazama sura Nakili




Marko 12:3
29 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwanamke Mkauanaya wa mipaka ile akatokea, akampaazia sauti, akinena, Unirehemu. Bwana, Mwana wa Daud; binti yangu amepagawa sana na pepo.


Hatta kwa wakati wake akatuma mtumwa kwa wale wakulima, illi apokee kwa wakulima baadhi ya matunda ya mizabibu.


Na huyo wakampiga mawe, wakamtia jeraha ya kichwa, wakamtoa ametiwa aibu.


Ni yupi katika manabii ambae baba zenu hawakumwudhi? nao waliwaua wale waliotabiri khabari za kuja kwake yule mwenye haki; ambae ninyi sasa mmemsaliti mkamwua;


waliomwua Bwana Yesu na manabii wao wenyewe na kutuudhi sisi, wala hawampendezi Mungu, wala hawapatani na watu wo wote;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo