Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 12:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Mmojawapo wa waandishi akafika, amewasikia wakisemezana nae, akatambua ya kuwa amewajibu vema, akamwuliza, Katika amri zote ipi iliyo ya kwanza?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Mmojawapo wa waalimu wa sheria alifika, akasikia mabishano yao. Alipoona kwamba Yesu aliwajibu vyema, akajitokeza, akamwuliza, “Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Mmojawapo wa waalimu wa sheria alifika, akasikia mabishano yao. Alipoona kwamba Yesu aliwajibu vyema, akajitokeza, akamwuliza, “Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Mmojawapo wa waalimu wa sheria alifika, akasikia mabishano yao. Alipoona kwamba Yesu aliwajibu vyema, akajitokeza, akamwuliza, “Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Mwalimu mmoja wa sheria akaja, akawasikia wakijadiliana. Akiona kwamba Isa amewajibu vyema, naye akamuuliza, “Katika amri zote, ni ipi iliyo kuu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Mwalimu mmoja wa sheria akaja, akawasikia wakijadiliana. Akiona kwamba Isa amewajibu vyema, naye akamuuliza, “Katika amri zote, ni ipi iliyo kuu?”

Tazama sura Nakili

Marko 12:28
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Zipi? Yesu akasema, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudu uwongo,

Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnalipa zaka za mnaana na bizari na kumini, mkaacha mambo makuu ya sharia, hukumu, na rehema, na imani: haya imewapasa kuyafanya, na mengine yale msiyaache.

Bassi mtu atakaevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha wafu hivi, atakwitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni: bali mtu atakaezitenda na kufundisha, huyu afakwitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

Hatta alipowafikia wanafunzi wake, akaona makutano mengi wakiwazunguka na waandishi wakijadiliana nao;

Bali ole wenu Mafarisayo, kwa sababu mnalipa zaka za mnaana na mchicha, na killa mboga, mkaacha adili na upendo wa Mungu: iliwapaseni kuyafanya haya ya kwanza bila kuacha haya ya pili.

Baadhi ya waandishi wakajibu wakasema, Mwalimu, umesema vema.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo