Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 12:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Bassi, katika kiyama watakapofufuka atakuwa mke wa nani katika hawa? Maana wote saba walikuwa nae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Basi, wakati wa ufufuo yeye atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kwa hiyo wakati wa ufufuo, yeye atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”

Tazama sura Nakili




Marko 12:23
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta na wa tatu kadhalika; wukamtwaa wote saba wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa nae.


Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hamjidanganyi kwa sababu hii, kwa kuwa bamyajui maandiko wala uweza wa Mungu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo