Marko 12:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192122 Hatta na wa tatu kadhalika; wukamtwaa wote saba wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa nae. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hakuna hata mmoja wa hao ndugu saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hakuna hata mmojawapo wa hao ndugu wote saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa. Tazama sura |