Marko 12:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Wa pili nae akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Wa pili akamwoa yule mjane, lakini naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Ikawa vivyo hivyo kwa yule wa tatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Wa pili akamwoa yule mjane, lakini naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Ikawa vivyo hivyo kwa yule wa tatu. Tazama sura |