Marko 12:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Bassi palikuwa na ndugu saba; wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Basi kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa mke, naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa mke, naye akafa pasipo kuwa na mtoto yeyote. Tazama sura |