Marko 12:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Na Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hapana kiyama, wakamwendea, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa, Tazama sura |