Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 12:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Wakamwambia, Ya Kaisari. Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu. Wakamtaajahia sana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Basi, Yesu akawaambia, “Ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” Wakashangazwa sana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Basi, Yesu akawaambia, “Ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” Wakashangazwa sana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Basi, Yesu akawaambia, “Ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” Wakashangazwa sana naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ndipo Isa akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.” Nao wakamstaajabia sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ndipo Isa akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.” Nao wakamstaajabia sana.

Tazama sura Nakili




Marko 12:17
22 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwambia, Ya Kaisari. Akawaambia, Bassi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.


Waliposikia, wakataajabu, wakamwacha, wakaenda zao.


Makutano waliposikia, wakashangaa kwa elimu yake.


Hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu tangu siku ile kumwuliza neno tena.


Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.


Akawaambia, Ya nani sanamu hii na anwani hii?


nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Amri ya kwanza ndiyo hii.


Akawaambia, Bassi, mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.


BASSI, nawasihi, ndugu, kwa huruma zake Mungu, mtoe miili yenu iwe dhabihu hayi, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ibada yenu yenye maana.


Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru: astahiliye khofu, khofu; astahiliye heshima, heshima.


wala msitoe viungo vyenu kuwa silaha ya dhulumu kwa dhambi; bali jitoeni nafsi zenu sadaka kwa Mungu kama walio hayi baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.


Heshimuni walu wote. Upendeni udugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo