Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 12:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodiano, illi wamnase kwa maneno.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Basi, baadhi ya Mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha Herode walitumwa ili wamtege Yesu kwa maneno yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Basi, baadhi ya Mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha Herode walitumwa ili wamtege Yesu kwa maneno yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Basi, baadhi ya Mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha Herode walitumwa ili wamtege Yesu kwa maneno yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Baadaye wakawatuma baadhi ya Mafarisayo na Maherode ili wamtege Isa katika maneno yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Baadaye wakawatuma baadhi ya Mafarisayo na Maherode ili kwenda kumtega Isa katika yale anayosema.

Tazama sura Nakili




Marko 12:13
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masudukayo.


Hatta walipofika wakamwambia, Mwalimu, twajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, wala hujali cheo cha mtu; kwa maana hutazami sura za watu: lakini katika kweli waifundisha njia ya Mungu. Je! ni halali kumpa Kaisari kodi au sivyo? Tumpe, tusimpe?


marra wakaloka wale Mafarisayo, wakamfanyia shauri pamoja na Maherodiano jinsi ya kumwangamiza.


Akawaagiza, akisema, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.


wakitaka kudaka neno kinywani mwake wapate kumshitaki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo