Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 12:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Wakatafuta kumkamata, wakaogopa makutano; maana walitambua ya kwamba ule mfano amewanena wao. Wakamwacha wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Makuhani wakuu, waalimu wa sheria na wazee walifahamu ya kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu. Kwa hiyo walijaribu kumtia nguvuni, lakini waliogopa umati wa watu. Basi, wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Makuhani wakuu, waalimu wa sheria na wazee walifahamu ya kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu. Kwa hiyo walijaribu kumtia nguvuni, lakini waliogopa umati wa watu. Basi, wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Makuhani wakuu, waalimu wa sheria na wazee walifahamu ya kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu. Kwa hiyo walijaribu kumtia nguvuni, lakini waliogopa umati wa watu. Basi, wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Walipotambua kuwa amesema mfano huo kwa ajili yao, wakataka kumkamata, lakini wakaogopa umati ule wa watu. Wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Walipotambua kuwa amesema mfano huo kwa ajili yao, wakataka kumkamata, lakini wakaogopa ule umati wa watu. Wakamwacha, wakaondoka, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Marko 12:12
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na tukisema, Kwa wana Adamu; twaogopa makutano; maana watu wote wanaona ya kuwa Yohana ni nabii.

Waliposikia, wakataajabu, wakamwacha, wakaenda zao.

Waandishi na makuhani wakini wakapata khabari wakatafuta jinsi ya kumwangamiza: maami walimwogopa, kwa sababu makutano yote walishangaa kwa elimu yake.

Bali tukisema, Ulitoka kwa wana Adamu—waliogopa watu: maana watu wote walimwona Yohana kuwa nabii kweli kweli.

Makuhani wakuu na waandishi wakatafuta kumkamata saa hiyo hiyo, wakawaogopa watu: maana walitambua ya kuwa ule mfano amewanena wao.

Bali tukisema, Kwa wana Adamu, watu wote watatupiga mawe: kwa sababu wamesadiki ya kuwa Yohana ni nabii.

Bassi baadhi ya watu wa Yerusalemi wakanena, Huyu si yeye wanaemtafuta illi kumwua?

Bassi wakatafuta kumkamata: lakini hapana aliyenyosha mkono wake illi kumshika kwa sababu saa yake ilikuwa haijaja bado.

Baadhi yao wakataka kumkamata, lakini hapana mtu aliyenyosha mkono wake illi kumshika.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo