Marko 11:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaamhia, Mnafanyani mkimfungua mwana punda? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwanapunda?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua huyo mwana-punda?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Walipokuwa wanamfungua, watu waliokuwa wamesimama karibu wakawauliza, “Mna maana gani mnapomfungua huyo mwana-punda?” Tazama sura |