Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 11:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Wakaenda zao, wakamwona mwana punda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Basi, wakaenda, wakamkuta mwanapunda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Wakaenda, wakampata mwana-punda amefungwa kando ya barabara, karibu na mlango wa nyumba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Wakaenda, wakamkuta mwana-punda amefungwa kando ya barabara, karibu na mlango wa nyumba.

Tazama sura Nakili




Marko 11:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

akiwaambia, Enendeni zenu hatta kijiji kile kinachowakabili, na marra mtaona punda amefungwa, na mwana punda pamoja nae: mfungueni mkaniletee.


Wanafunzi wakatenda kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa pasaka.


Na mtu akiwaambieni, Mbona mnafanya hivi? semeni, Bwana ana haja nae; na marra atampeleka hapa.


Baadhi ya watu waliosimama huko wakawaamhia, Mnafanyani mkimfungua mwana punda?


Mama yake akawaambia watumishi, Lo lote atakalowaambieni fanyeni.


Kwa imani Ibrahimu alipoitwa aliitika, akatoka aende hatta mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo