Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 11:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Wakamjibu Yesu, wakanena, Hatujui. Yesu akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi kwa mamlaka gani nitendayo haya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Basi, wakamjibu Yesu, “Sisi hatujui.” Naye Yesu akawaambia, “Nami pia sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Basi, wakamjibu Yesu, “Sisi hatujui.” Naye Yesu akawaambia, “Nami pia sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Basi, wakamjibu Yesu, “Sisi hatujui.” Naye Yesu akawaambia, “Nami pia sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 kwa hiyo wakamjibu Isa, “Hatujui.” Naye Isa akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Kwa hiyo wakamjibu Isa, “Hatujui.” Naye Isa akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.”

Tazama sura Nakili




Marko 11:33
26 Marejeleo ya Msalaba  

Waacheni hawo; ni vipofu, viongozi wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumhukia shimoni wote wawili.


Kizazi kibaya na cha zina chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya nabii Yunus. Akawaacha, akaenda zake.


Wakamjibu Yesu, wakasema, Hatujui. Nae akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi kwa mamlaka gani ninafanya haya.


Bali tukisema, Ulitoka kwa wana Adamu—waliogopa watu: maana watu wote walimwona Yohana kuwa nabii kweli kweli.


AKAANZA kusema nao kwa mifano. Mtu alipanda mizabibu, akazungusha nzio, akachimbia shimo lake shinikizo, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.


Yesu akajibu akamwambia, Je! Wewe u mwalimu katika Israeli, na haya huyafahamu?


Akawajibu, Nimekwisha kuwaambieni, wala hamkusikia: Mbona mnataka kusikia marra ya pili? Ninyi nanyi mnataka kuwa wanafunzi wake?


Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wuyafanye yasiyowapasa;


bali hatta leo, Musa asomwapo, utaji huikalia mioyo yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo