Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 11:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Bali tukisema, Ulitoka kwa wana Adamu—waliogopa watu: maana watu wote walimwona Yohana kuwa nabii kweli kweli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Na tukisema, ‘Yalitoka kwa watu (Waliogopa umati wa watu maana wote waliamini kwamba Yohane alikuwa kweli nabii.)

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Na tukisema, ‘Yalitoka kwa watu (Waliogopa umati wa watu maana wote waliamini kwamba Yohane alikuwa kweli nabii.)

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Na tukisema, ‘Yalitoka kwa watu…’” (Waliogopa umati wa watu maana wote waliamini kwamba Yohane alikuwa kweli nabii.)

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu’ ” (waliwaogopa watu, kwa sababu kila mtu aliamini kwamba Yahya alikuwa nabii wa kweli);

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’…” (Waliwaogopa watu, kwa sababu kila mtu aliamini kwamba Yahya alikuwa nabii wa kweli.)

Tazama sura Nakili




Marko 11:32
15 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, nawaambieni, na aliye zaidi ya nabii.


Na alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona kuwa nabii.


Nao walipotafuta kumkamata, wakawaogopa makutano, kwa maana walimwona kuwa nabii.


Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Kama tukisema, Toka mbinguni, atasema, Mbona, bassi, hamkuniwamini?


Wakamjibu Yesu, wakanena, Hatujui. Yesu akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi kwa mamlaka gani nitendayo haya.


Wakatafuta kumkamata, wakaogopa makutano; maana walitambua ya kwamba ule mfano amewanena wao. Wakamwacha wakaenda zao.


Maana Herode alimwogopa Yohana: hatta akimjua kuwa ni mtu wa haki, mtakatifu, akamhami, na alipokwisha kumsikiliza alifanya mambo mengi: nae alikuwa akimsikiliza kwa furaha.


Makuhani wakuu na waandishi wakatafuta kumkamata saa hiyo hiyo, wakawaogopa watu: maana walitambua ya kuwa ule mfano amewanena wao.


Makuhani wakuu na waandishi wakatafuta njia ya kumwua, kwa maana walikuwa wakiwaogopa watu.


Yohana hakufanya ishara yo yote, lakini yote aliyosema Yohana katika khabari zake huyu yalikuwa kweli.


Yule jemadari akaenda pamoja na watumishi, wakawaleta, lakini si kwa nguvu, kwa maana waliogopa watu wasije wakawatupia mawe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo