Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 11:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Kama tukisema, Toka mbinguni, atasema, Mbona, bassi, hamkuniwamini?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Wakaanza kujadiliana, “Tukisema, ‘Yalitoka mbinguni’, atatuuliza, ‘Basi, mbona hamkumsadiki?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Wakaanza kujadiliana, “Tukisema, ‘Yalitoka mbinguni’, atatuuliza, ‘Basi, mbona hamkumsadiki?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Wakaanza kujadiliana, “Tukisema, ‘Yalitoka mbinguni’, atatuuliza, ‘Basi, mbona hamkumsadiki?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Wakahojiana wao kwa wao na kusema, “Tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Mbona hamkumwamini?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Wakahojiana wao kwa wao, wakisema, “Kama tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Mbona hamkumwamini?’

Tazama sura Nakili




Marko 11:31
11 Marejeleo ya Msalaba  

Wakabishana wao kwa wao, wakinena, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate.


Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wana Adamu? Nijibuni.


Bali tukisema, Ulitoka kwa wana Adamu—waliogopa watu: maana watu wote walimwona Yohana kuwa nabii kweli kweli.


Yohana akamshuhudia, akapaaza sauti yake, akinena, Huyu ndiye niliyemnena khabari zake, kwamba, Ajae nyuma yangu amekuwa mbele yangu; kwa maana alikuwa kabla yangu.


Siku ya pili yake Yohana amwona Yesu anakuja kwake, akanena, Tazama, Mwana Kondoo wa Mungu, aichukuae dhambi ya ulimwengu!


Nami nimeona, tena nimeshuhudia ya kuwa huyu ni Mwana wa Mungu.


Akamtazama Yesu, akitembea, akasema, Tazama, Mwana Kondoo wa Mungu!


Tufuate:

Matangazo


Matangazo