Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 11:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wana Adamu? Nijibuni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Je, ubatizo wa Yahya ulitoka mbinguni au kwa wanadamu? Niambieni!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Niambieni, je, ubatizo wa Yahya ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?”

Tazama sura Nakili




Marko 11:30
10 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu akawaambia, Mimi nami nitawauliza neno moja, nanyi nijibuni, kiisha nitawaambieni kwa mamlaka gani nitendayo haya.


Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Kama tukisema, Toka mbinguni, atasema, Mbona, bassi, hamkuniwamini?


Lakini nawaambieni, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtenda yote waliyoyataka kama alivyoandikiwa.


Bassi sasa nawaambieni, Jiepusheni na watu hawa, waacheni: kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa ya kibinadamu, itavunjwa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo