Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 11:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Na mtu akiwaambieni, Mbona mnafanya hivi? semeni, Bwana ana haja nae; na marra atampeleka hapa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kama mtu akiwauliza, ‘Mbona mnafanya hivyo?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji na atamrudisha hapa mara.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kama mtu akiwauliza, ‘Mbona mnafanya hivyo?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji na atamrudisha hapa mara.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kama mtu akiwauliza, ‘Mbona mnafanya hivyo?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji na atamrudisha hapa mara.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mtu yeyote akiwauliza, ‘Mbona mnamfungua?’ mwambieni, ‘Bwana anamhitaji, na atamrudisha hapa baada ya muda mfupi.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Kama mtu yeyote akiwauliza, ‘Mbona mnamfungua?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji, na atamrudisha hapa baada ya muda mfupi.’ ”

Tazama sura Nakili




Marko 11:3
11 Marejeleo ya Msalaba  

Enendeni zenu hatta kile kijiji kinachowakahili. Katika kuingia ndani yake marra mtaona mwana punda amefungwa, asiyepandwa na mtu hado; mfungueni, kamleteni.


Wakaenda zao, wakamwona mwana punda amefungwa penye mlango, nje katika njia kuu, wakamfungua.


Nae mwenyewe atawaonyesha orofa kuhwa, imetandikwa tayari: huko tuandalieni.


Wakasali, wakasema, Wewe, Bwana, ujuae mioyo ya watu wote, tuonyeshe ni nani uliyemchagua katika hawa wawili,


Neno lile alilowapelekea wana wa Israeli, akikhubiri amani kwa Yesu Kristo (ndiye Bwana wa wote),


wala hatumikiwi kwa mikono ya wana Adamu kana kwamba anahitaji kitu cho chote; kwa maana ndiye anaewapa wote uzima na pumzi na vitu vyote.


Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yetu, alipokuwa tajiri, illi ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo