Marko 11:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 Yesu akajibu akawaambia, Mimi nami nitawauliza neno moja, nanyi nijibuni, kiisha nitawaambieni kwa mamlaka gani nitendayo haya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Lakini Yesu akawaambia, “Nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, nami pia nitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Lakini Yesu akawaambia, “Nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, nami pia nitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Lakini Yesu akawaambia, “Nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, nami pia nitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Isa akawajibu, “Nitawauliza swali moja. Nijibuni, nami nitawaambia ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Isa akawajibu, “Nitawauliza swali moja. Nijibuni, nami nitawaambia ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya. Tazama sura |