Marko 11:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Kwa mamlaka gani utendayo haya? Na ni nani aliyekupa mamlaka hii uyatende haya? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Wakamuuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Na ni nani aliyekupa mamlaka ya kufanya hayo?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Wakamuuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Na ni nani aliyekupa mamlaka ya kufanya hayo?” Tazama sura |