Marko 11:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 La, kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Lakini msipowasamehe wengine, hata Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe nyinyi makosa yenu.] Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Lakini msipowasamehe wengine, hata Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe nyinyi makosa yenu.] Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Lakini kama ninyi msiposamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.]” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Lakini kama ninyi msiposamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.]” Tazama sura |