Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 11:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Enendeni zenu hatta kile kijiji kinachowakahili. Katika kuingia ndani yake marra mtaona mwana punda amefungwa, asiyepandwa na mtu hado; mfungueni, kamleteni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia humo, mtakuta mwanapunda amefungwa, ambaye bado hajatumiwa na mtu. Mfungueni mkamlete.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia humo, mtakuta mwanapunda amefungwa, ambaye bado hajatumiwa na mtu. Mfungueni mkamlete.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia humo, mtakuta mwanapunda amefungwa, ambaye bado hajatumiwa na mtu. Mfungueni mkamlete.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Na hapo mtakapoingia kijijini, mtampata mwana-punda amefungwa hapo, ambaye hajapandwa na mtu bado. Mfungueni, mkamlete hapa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilichoko mbele yenu. Na hapo mtakapoingia kijijini, mtamkuta mwana-punda amefungwa hapo, ambaye hajapandwa na mtu bado. Mfungueni, mkamlete hapa.

Tazama sura Nakili

Marko 11:2
4 Marejeleo ya Msalaba  

HATTA walipokaribia Yerusalemi karibu na Bethfage na Bethania, kukabili mlima wa Mizeituni, akawatuma wawili katilia wanafunzi wake, akawaambia,

Na mtu akiwaambieni, Mbona mnafanya hivi? semeni, Bwana ana haja nae; na marra atampeleka hapa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo