Marko 11:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 wala hakuacha mtu achukue chombo kati ya hekalu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 wala hakumruhusu mtu yeyote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 wala hakumruhusu mtu yeyote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu. Tazama sura |