Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 11:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Akaona toka mbali mtini wenye majani, akaenda illi labuda aone kitu juu yake: na alipofika hakuona kitu illa majani:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. Akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. Alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila tu majani matupu, kwa vile hayakuwa majira yake ya matunda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. Akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. Alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila tu majani matupu, kwa vile hayakuwa majira yake ya matunda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. Akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. Alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila tu majani matupu, kwa vile hayakuwa majira yake ya matunda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Akauona mtini kwa mbali, naye akaenda ili aone kama ulikuwa na matunda. Alipoufikia, akakuta una majani tu, kwa kuwa hayakuwa majira ya tini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Akauona mtini kwa mbali, naye akaenda ili aone kama ulikuwa na matunda. Alipoufikia, akakuta una majani tu, kwa kuwa hayakuwa majira ya tini.

Tazama sura Nakili

Marko 11:13
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake illa majani tu; akauambia, Yasipatikane matunda kwako tangu leo hatta milele. Mtini ukauyauka marra moja.

Hatta assubuhi yake walipotoka Bethania akaona njaa.

maana haukuwa wakati wa tini. Yesu akajibu, akauambia, Tangu leo hatta milele mtu asile matunda kwako. Wanafunzi wake wakasikia.

Na kwa nasibu kukashuka kuhani mmoja njia ileile, akamwona, akapita upande.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo