Marko 11:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Hatta assubuhi yake walipotoka Bethania akaona njaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Isa alikuwa na njaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Isa alikuwa na njaa. Tazama sura |