Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 11:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Yesu akaingia Yerusalemi hatta ndani ya hekalu: na alipokwisha kutazama yote pande zote, kwa kuwa ni wakati wa jioni, akatoka akaenda Bethania pamoja na wathenashara.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Yesu aliingia mjini Yerusalemu akaenda moja kwa moja mpaka hekaluni, akatazama kila kitu kwa makini. Lakini kwa vile ilikwisha kuwa jioni, akaenda Bethania pamoja na wale kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Yesu aliingia mjini Yerusalemu akaenda moja kwa moja mpaka hekaluni, akatazama kila kitu kwa makini. Lakini kwa vile ilikwisha kuwa jioni, akaenda Bethania pamoja na wale kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Yesu aliingia mjini Yerusalemu akaenda moja kwa moja mpaka hekaluni, akatazama kila kitu kwa makini. Lakini kwa vile ilikwisha kuwa jioni, akaenda Bethania pamoja na wale kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Isa akaingia Yerusalemu na kwenda Hekaluni. Akaangalia kila kitu kilichokuwamo, lakini kwa kuwa ilishakuwa jioni, akaenda zake Bethania pamoja na wale kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Isa akaingia Yerusalemu na kwenda Hekaluni. Akaangalia kila kitu kilichokuwamo, lakini kwa kuwa ilishakuwa jioni, akaenda zake Bethania pamoja na wale kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Marko 11:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na ilipokuwa jioni alitoka mjini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo