Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 10:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Bassi alivyoviunganisha Mungu, mwana Adamu asivitenganishe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”

Tazama sura Nakili

Marko 10:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza khabari ya neno hilohilo.

na hawo wawili watakuwa mwili mmoja; hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo