Marko 10:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 na hawo wawili watakuwa mwili mmoja; hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’ Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena, bali mwili mmoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena, bali mwili mmoja. Tazama sura |