Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 10:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

51 Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyieni? Yule kipofu akamwambia, Rabbi, nipate kuona tena.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Yesu akamwuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Huyo kipofu akamwambia, “Mwalimu, naomba nipate kuona.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Yesu akamwuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Huyo kipofu akamwambia, “Mwalimu, naomba nipate kuona.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Yesu akamwuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Huyo kipofu akamwambia, “Mwalimu, naomba nipate kuona.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Isa akamuuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Yule kipofu akajibu, “Mwalimu, nataka kuona.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Isa akamuuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Yule kipofu akajibu, “Mwalimu, nataka kuona.”

Tazama sura Nakili

Marko 10:51
11 Marejeleo ya Msalaba  

na kusalimiwa sokoni, na kuitwa na watu, Rabbi, Rabbi.

Bali ninyi nisiitwe Rabbi; maana mwalimu wenu yu mmoja ndiye Kristo, na ninyi nyote ni ndugu.

Bassi msifanane na hawo; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba.

Ombeni na mtapewa; tafuteni na mtaona; bisheni na mtafunguliwa:

Akawaambia, Mwalaka niwafanyie nini?

Akatupa vazi lake, akaruka, akamwendea Yesu.

Yesu akamwambia, Mariamu. Yeye akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, Rabboni (tafsiri yake Mwalimu).

Yule jemadari akamshika mkono akaenda nae kando, akamwuliza kwa faragha, Una neno gani utakalo kuniarifu?

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika killa neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu zijulike kwa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo