Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 10:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yemi aliwaandikia amri hii.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia amri hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia amri hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia amri hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Isa akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Isa akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Tazama sura Nakili

Marko 10:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Musa kwa sabau ya ugumu wa mioyo yenu aliwapeni ruksa kuwaacha wake zenu: lakini langu mwanzo haikuwa hivi.

Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya na ninyi vivyo hivyo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo