Marko 10:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192149 Wakamwita yule kipofu, wakamwambia, Jipe moyo; ondoka, anakuita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Yesu alisimama, akasema, “Mwiteni.” Basi, wakamwita huyo kipofu, wakamwambia, “Jipe moyo! Simama, anakuita.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Yesu alisimama, akasema, “Mwiteni.” Basi, wakamwita huyo kipofu, wakamwambia, “Jipe moyo! Simama, anakuita.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Yesu alisimama, akasema, “Mwiteni.” Basi, wakamwita huyo kipofu, wakamwambia, “Jipe moyo! Simama, anakuita.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Isa akasimama na kusema, “Mwiteni.” Hivyo wakamwita yule mtu kipofu, wakamwambia, “Jipe moyo! Inuka, anakuita.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Isa akasimama na kusema, “Mwiteni.” Hivyo wakamwita yule mtu kipofu, wakamwambia, “Jipe moyo! Inuka, anakuita.” Tazama sura |