Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 10:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 Wakafika Yeriko: hatta alipokuwa akishika njia kutoka Yeriko, pamoja na wanafunzi wake, na mkutano mkubwa, mwana wa Timayo, Bartimayo, yule kipofu, alikuwa ameketi kando ya njia, akiomba sadaka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Basi, wakafika Yeriko, naye Yesu alipokuwa anatoka katika mji huo akiwa na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu, mwana wa Timayo aitwaye Bartimayo, alikuwa ameketi kando ya barabara, anaomba maskini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Basi, wakafika Yeriko, naye Yesu alipokuwa anatoka katika mji huo akiwa na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu, mwana wa Timayo aitwaye Bartimayo, alikuwa ameketi kando ya barabara, anaomba maskini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Basi, wakafika Yeriko, naye Yesu alipokuwa anatoka katika mji huo akiwa na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu, mwana wa Timayo aitwaye Bartimayo, alikuwa ameketi kando ya barabara, anaomba maskini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Kisha wakafika Yeriko. Isa alipokuwa akiondoka mjini na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu mmoja, jina lake Bartimayo (maana yake “mwana wa Timayo”), alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Kisha wakafika Yeriko. Isa alipokuwa akiondoka mjini na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu mmoja, jina lake Bartimayo, mwana wa Timayo, alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.

Tazama sura Nakili

Marko 10:46
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa akipanda, nyingine zikaanguka njiani, ndege wakaja wakazila:

Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, hutupwa mlangoni pake, ana vidonda,

Ikawa maskini akafa, akachukuliwa na malaika kifuani kwa Ibrahimu. Akafa na yule tajiri, akazikwa.

Ikawa alipokaribia Yeriko, pafikuwa na kipofu, amekaa kando ya njia akiomba.

AKAINGIA Yeriko akawa akipita katikati yake.

Bassi jirani zake, na wale waliomwona zamani kuwa ni kipofu, wakanena, Je! huyu siye yule aliyekuwa akiomba, ameketi?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo