Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 10:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Yesu akawaita, akawaambia, Mwajua ya kuwa wale wanaohesabiwa kuwa majumbe wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Hivyo, Yesu akawaita, akawaambia, “Mnajua kwamba wale wanaofikiriwa kuwa watawala wa mataifa huwatawala watu wao kwa mabavu, na wakuu hao huwamiliki watu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Hivyo, Yesu akawaita, akawaambia, “Mnajua kwamba wale wanaofikiriwa kuwa watawala wa mataifa huwatawala watu wao kwa mabavu, na wakuu hao huwamiliki watu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Hivyo, Yesu akawaita, akawaambia, “Mnajua kwamba wale wanaofikiriwa kuwa watawala wa mataifa huwatawala watu wao kwa mabavu, na wakuu hao huwamiliki watu wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Lakini Isa akawaita wote pamoja na kuwaambia, “Mnafahamu kuwa wale wanaodhaniwa kuwa watawala wa watu wa Mataifa huwatawala watu kwa nguvu, nao wenye vyeo huonesha mamlaka yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Lakini Isa akawaita wote pamoja na kuwaambia, “Mnafahamu kuwa wale wanaodhaniwa kuwa watawala wa watu wa Mataifa huwatawala watu kwa nguvu, nao wenye vyeo huonyesha mamlaka yao.

Tazama sura Nakili

Marko 10:42
5 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yesu akawaita, akasema, Mwajua ya kuwa wafalme wa Mataifa huwatawala, na wakuu wao huwatumikisha.

Hatta wale kumi waliposikia wakaanza kuwakasirikia Yakobo na Yohana.

Lakini haitakuwa hivi kwemi; bali mtu atakae kuwa mkubwa kwenu, atakuwa mkhudumu wenu,

Akawaambia, Wafalme wa Mataifa huwatawala, na wenye mamlaka juu yao huitwa wafadhili.

wala si kama wajifanyao mabwana juu ya mitaa yao, bali kwa kujifanya mfano kwa lile kundi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo