Marko 10:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Wakasema, Musa alitoa rukhusa kuandika khati ya talaka na kumwacha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nao wakasema, “Mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nao wakasema, “Mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nao wakasema, “Mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wakajibu, “Musa aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakajibu, “Musa aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.” Tazama sura |