Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 10:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 na watamhukumu afe, watamtia mikononi mwa mataifa, nao watamdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumtemea mate, na kumwua: na siku ya tatu atafufuka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Nao watamdhihaki; watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumuua. Lakini baada ya siku tatu atafufuka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Nao watamdhihaki; watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumuua. Lakini baada ya siku tatu atafufuka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Nao watamdhihaki; watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumuua. Lakini baada ya siku tatu atafufuka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 ambao watamdhihaki na kumtemea mate, watampiga na kumuua. Siku tatu baadaye atafufuka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 ambao watamdhihaki na kumtemea mate, watampiga na kumuua. Siku tatu baadaye atafufuka.”

Tazama sura Nakili




Marko 10:34
24 Marejeleo ya Msalaba  

Toka wakati huo Yesu akaanza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemi, na kuteswa mengi na wazee na makuhani wakuu, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.


Ndipo wakamtemea mate va uso, wakampiga konde; wengine wakampiga makofi,


wakinena, Bwana, tumekumbuka kwamba yule mjanja alisema, alipokuwa hayi bado, Baada ya siku tatu nitafufuka.


Kuhani mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna baja gani ya mashahidi wengine?


Wengine wakaanza kumtemea mate, na kumfunika uso, na kumpiga konde, na kumwambia, Fanya unabii. Watumishi wakampiga makofi.


Kwa sababu alikuwa akiwafundisha wanafunzi wake, akiwaambia ya kwamba Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua; hatta akiisha kuuawa, baada ya siku tatu atafufuka.


Bassi Herode akamtweza pamoja na askari zake akamdhihaki, akamvika mavazi mazurimazuri, akamrudisha kwa Pilato.


Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa, neema na kweli zilikuwa kwa mkono wa Yesu Kristo.


akamwambia, Killa mtu kwanza huandaa divai iliyo njema, hatta watu wakiisha kunywa sana, ndipo huleta iliyo dhaifu: wewe umeweka divai iliyo njema hatta sasa.


na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo