Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 10:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Wakawa njiani, wakipanda kwenda Yerusalemi; na Yesu alikuwa akiwatangulia: wakashangaa, na wakifuata wakaogopa. Akawachukua tena wale thenashara akaanza kuwaambia khabari za mambo yatakayompata, akinena,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Basi, walikuwa njiani kwenda juu Yerusalemu, na Yesu alikuwa anawatangulia. Wanafunzi wake walijawa na hofu, na watu waliofuata waliogopa. Yesu akawachukua tena kando wale kumi na wawili, akaanza kuwaambia yale yatakayompata:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Basi, walikuwa njiani kwenda juu Yerusalemu, na Yesu alikuwa anawatangulia. Wanafunzi wake walijawa na hofu, na watu waliofuata waliogopa. Yesu akawachukua tena kando wale kumi na wawili, akaanza kuwaambia yale yatakayompata:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Basi, walikuwa njiani kwenda juu Yerusalemu, na Yesu alikuwa anawatangulia. Wanafunzi wake walijawa na hofu, na watu waliofuata waliogopa. Yesu akawachukua tena kando wale kumi na wawili, akaanza kuwaambia yale yatakayompata:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Walikuwa njiani wakipanda kwenda Yerusalemu, na Isa alikuwa amewatangulia. Wanafunzi wake walishangaa, nao watu waliowafuata walijawa na hofu. Isa akawachukua tena wale wanafunzi wake kumi na wawili kando na kuwaambia yatakayompata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Walikuwa njiani wakipanda kwenda Yerusalemu, na Isa alikuwa ametangulia. Wanafunzi wake walishangaa, nao watu waliowafuata walijawa na hofu. Isa akawachukua tena wale wanafunzi wake kumi na wawili kando na kuwaambia yatakayompata.

Tazama sura Nakili

Marko 10:32
12 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati ule Yesu akajibu akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na inchi, kwa kuwa uliwaficha haya wenye hekima na busara, ukawafunulia wadogo:

Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wale hawakujaliwa.

Wakashangaa wote hatta wakaulizana, wakinena, Nini hii? Elimu hii mpya ni elimn gani? Maana kwa mamlaka awaamuru pepo wachafu nao wakamtii!

wala pasipo mfano hakusema nao: akawaeleza wanafunzi wake mambo yote kwa faragha.

Akawageukia wanafunzi wake kwa faragha, akawaambia, Ya kheri macho yatazamayo mnayoyatazama ninyi.

Alipokwisha kusema haya, akaendelea mbele, akipanda kwenda Yerusalemi.

Ikawa siku za kupandishwa kwake juu zilipokuwa karibu kutimia, yeye mwenyewe akauelekeza nso wake kwenda Yerusalemi.

Bassi Tomaso, aitwae Didumo, akawaambia wanafunzi wenziwe, Twende na sisi, tufe pamoja nae.

Wale wanafunzi wakamwambia, Rabbi, juzi juzi tu Wayahudi walikuwa wakitafuta kukupiga mawe, nawe unakweuda huko tena?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo