Marko 10:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192122 Walakini yeye akakunja uso kwa neno lile, akaenda zake kwa huzuni kwa sababu alikuwa na mali nyingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Aliposikia hayo, alisikitika, akaenda zake akiwa na huzuni, kwa maana alikuwa na mali nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Aliposikia hayo, alisikitika, akaenda zake akiwa na huzuni, kwa maana alikuwa na mali nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Aliposikia hayo, alisikitika, akaenda zake akiwa na huzuni, kwa maana alikuwa na mali nyingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Yule mtu aliposikia hayo, akasikitika sana. Akaondoka kwa huzuni kwa sababu alikuwa na mali nyingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Yule mtu aliposikia hayo, akasikitika sana. Akaondoka kwa huzuni kwa sababu alikuwa na mali nyingi. Tazama sura |