Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 10:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Akamwambia, Mwalimu, haya yote nimeyashika tangu ujana wangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Naye akamjibu, “Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Naye akamjibu, “Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Naye akamjibu, “Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”

Tazama sura Nakili




Marko 10:20
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yule kijima akamwambia, Haya yote nimeyashika tangu utoto wangu: nimepmigukiwa nini tena?


Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa neno moja Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni: ukiisha, njoo ukajitwike msalaba wako unifuate.


Nae akitaka kujifanya ana haki akamwambia Yesu, Na jirani yangu ni nani?


Na mimi nalikuwa hayi hapo kwanza hila sharia; illa ilipokuja ile amri, dhambi ilihuika, na mimi nikafa.


kwa jinsi ya haki ipatikanayo kwa sharia sikuwa na khatiya.


wenye mfano wa utawa, lakini wakikana nguvu zake; ujiepushe na hao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo