Marko 10:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Akawachukua watoto mikononi mwake, akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Akawachukua watoto mikononi mwake, akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. Tazama sura |