Marko 10:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Wakamletea watoto wachanga illi awaguse: wanafunzi wake wakawakemea wao waliowaleta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Watu walikuwa wakimletea Isa watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Watu walikuwa wakimletea Isa watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea. Tazama sura |