Marko 10:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 na mke, akimwacha mume wake na kuolewa na mtu mwingine, azini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” Tazama sura |