Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 10:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Akawaambia, Killa mtu atakaemwacha mkewe na kuoa mwingine azini na kumkosa:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye.

Tazama sura Nakili




Marko 10:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nawaambia ninyi, Killa mtu atakaemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya asharati, akaoa mwingine, azini; nae amwoae yule aliyeachwa azini.


Hatta nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza khabari ya neno hilohilo.


Killa amwachae mkewe na kumwoa mwingine, amezini; nae amwoae yeye aliyeachwa na mumewe azini.


Bassi wakati awapo hayi mume wake, kama akiwa na mume mwingine huitwa mzinzi. Bali mume wake akifa, amekuwa huru, hafungwi na sharia hiyo, hatta yeye si mzinzi, ajapokuwa na mume mwingine.


Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mume wake; na vivyo hivyo mume hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mke wake.


Ndoa iheshimiwe na watu wote, na malalo yawe safi: kwa maana waasharati na wazinzi Mungu atawahukumu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo