Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 1:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Tena, siku zile, alikuja Yesu kutoka Nazareti ya Galilaya, akabatizwa na Yohana katika Yardani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Siku hizo, Yesu alifika kutoka Nazareti, mji wa Galilaya, akabatizwa na Yohane katika mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Siku hizo, Yesu alifika kutoka Nazareti, mji wa Galilaya, akabatizwa na Yohane katika mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Siku hizo, Yesu alifika kutoka Nazareti, mji wa Galilaya, akabatizwa na Yohane katika mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Wakati huo Isa akaja kutoka Nasiri ya Galilaya, naye akabatizwa na Yahya katika Mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Wakati huo Isa akaja kutoka Nasiri ya Galilaya, naye akabatizwa na Yahya katika Mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Marko 1:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.

Marra akapanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kwa mfano wa hua, akishuka juu yake;

Mimi naliwabatizeni kwa maji; bali yeye atawabalizeni kwa Roho Mtakatifu.

Akashuka pamoja nao, akafika Nazareti, akawa anawatii: mama yake akayahifadhi maneno haya yote moyoni mwake.

akianza tangu ubatizo wa Yohana, hatta siku ile alipochukuliwa kwetu kwenda juu, lazima mmoja wao afanywe shahidi wa kufufuka kwake pamoja nasi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo