Marko 1:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Na Yohana alikuwa amevaa singa za ngamia na mshipi wa ngozi kimioni mwake, akila nzige na asali ya mwitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Yohane alikuwa amevaa vazi lililofumwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Yohane alikuwa amevaa vazi lililofumwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Yohane alikuwa amevaa vazi lililofumwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Yahya alivaa mavazi yaliyotengenezwa kwa singa za ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. Alikula nzige na asali ya mwitu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Yahya alivaa mavazi yaliyotengenezwa kwa singa za ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu. Tazama sura |