Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 1:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Nae akatoka, akaanza kukhubiri mengi, na kulitangaza lile neno, hatta Yesu asiweze tena kuingia mjini kwa wazi; bali alikuwa nje mabali pasipo watu; wakamwendea kutoka killa pahali.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Lakini huyo mtu akaenda, akaanza kueneza habari hiyo kila mahali na kusema mambo mengi hata Yesu hakuweza tena kuingia katika mji wowote waziwazi; ikamlazimu kukaa nje, mahali pa faragha. Hata hivyo, watu wakamwendea kutoka kila upande.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Lakini huyo mtu akaenda, akaanza kueneza habari hiyo kila mahali na kusema mambo mengi hata Yesu hakuweza tena kuingia katika mji wowote waziwazi; ikamlazimu kukaa nje, mahali pa faragha. Hata hivyo, watu wakamwendea kutoka kila upande.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Lakini huyo mtu akaenda, akaanza kueneza habari hiyo kila mahali na kusema mambo mengi hata Yesu hakuweza tena kuingia katika mji wowote waziwazi; ikamlazimu kukaa nje, mahali pa faragha. Hata hivyo, watu wakamwendea kutoka kila upande.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Lakini yule mtu akaenda akaanza kutangaza habari za kuponywa kwake waziwazi. Kwa hiyo, Isa hakuweza tena kuingia katika miji waziwazi bali alikaa sehemu zisizo na watu. Hata hivyo watu wakamfuata huko kutoka kila upande.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Lakini yule mtu akaenda akaanza kutangaza habari za kuponywa kwake waziwazi. Kwa hiyo, Isa hakuweza tena kuingia katika miji waziwazi lakini alikaa sehemu zisizo na watu. Hata hivyo watu wakamfuata huko kutoka kila upande.

Tazama sura Nakili

Marko 1:45
12 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno lile likaenea katika Wayahudi hatta leo.

Zikaenea khabari hizi katika inchi ile yote.

Lakini wakatoka, wakaeneza khabari zake katika inchi ile yote.

Akatoka tena, akaenda kando ya bahari, makutano yote wakamwendea, akawafundisha.

Kiisha wakaingia nyumbani; makutano wakakusanyika tena, wao wenyewe wasiweze kula hatta mkate.

Yesu akajitenga, yeye na wanafunzi wake, akaenda baharini. Watu wengi sana wakamfuata toka Galilaya, na toka Yahudi, na toka Yerusalemi,

Akawaagiza wasimwambie mtu; lakini kwa kadiri alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza khabari, wakashangaa mno kupita kiasi, wakinena,

Makutano mengi wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.

Maana wako wengi wasiotii, wenye maneno yasiyo maana, wadanganyaji, khassa wale waliotahiriwa,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo